Naomba msaada kuhusu chuo gani nikasomee

Joined
Apr 27, 2017
Posts
29
Reaction score
9
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana ila huko Uganda na nikabadili matokeo yangu yakawa ya Tanzania sasa sijisikii kwenda Advance nataka niende Chuo sasa naomba msaada niende Chuo gani maana nilivyofaulu ni kama ifuatavyo.

Math B,
Hist B
Kisw A
Geog C
Bible knowledge C
English C
Phys D
Biol D
Chem D
Naombeni ushauri ila advance sitaki kwenda
 
anko hataki shortcut anataka njia iliyonyooka
 
Kasomee uhasibu.
Mana umeharibu combination mwenyewe
 
Hauna kweli ulicho hata fikiria kabla ungependa kusoma au kuwa na profession, freelance, self-employed n.k mbeleni? Yaani hata kuwa na kama mawili matatu yanayokuvutia, then utumie majibu yako kuona sasa inakuwaje?

Naandika haya ujue ili usijisukume tu kusoma ambacho hakikuvutii wala hujui unataka kuwaje mbeleni. Ila bado unaweza kuxhagua lolote kama hujawahi kuvutiwa kabla.

Kuna mdau kakushauri uhasibu pia..na kukueleza sababu.

Kiaina ni kama majibu yako hukuyafurahia, ila utakuwa umejifunza mengi na hautorudia.
 
Asant sana Mkuu mm nataka nkasomee uhasibu au finance and banking na course ya tatu n civil engineering
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom