Salaam,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nilimaliza masomo yangu ya O level 2010 nikapata ufaulu wa division One ya 17 ,Na nikaenda advance kwa mchepuo wa art nikafaulu kwa division Two ya 12.
Nilijiunga na chuo flan hapa nchini ila kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wangu kama kukosa mkopo, kutoka familia maskin na sababu nyingine za kuendana na hizo nikashindwa kumudu masomo. kwa hiyo nikaishia mwaka wa pili. Maana nilikuwa nasoma faculty ya mambo ya biashara na haikuwa na priority ya kupewa mkopo na ndo maana nilikosa.
Sasa nataka kuomba tena chuo mwaka huu ila kwa Faculty yenye priority kwenye mkopo kama education.
Shida yangu naomba mnisaidie kunichangia hata jumla ya laki moja na nusu (150,000) ambazo nataka nizitumie kwenye kuombea mkopo,kuombea chuo, kutumia form na mambo mengine ya muhimu.
Baada ya hapo nategemea kuendelea na masomo kwa sababu kuna hela kadhaa nategemea kuzipata baada ya mda wa miezi michache kabla chuo hakijaanza. Ila kwa sasa hivi sina chochote.
NB: Najua kuna wataouliza kuwa kwa nini nisiuze hii simu nlili nipate hela za kufanyia maombi hii ni kwamba nashindwa kufanya hivi kwa sababu simu sio yangu kwa asilimia zote pia inaweza kunisaidia hapo baadae kwa mambo ya mitandao especially kwa kufuatilia mambo ya msingi kama mwanachuo.
Naomba msaada wenu tafadhari.
Namba yangu ni 0689 154 853