Heshima yenu wana jamvi, naomba msaada juu yaa Internet Download Manager (IDM). nimekuwa nikitumia hii program ya kupakuwa vitu kwenye pc yangu sasa imegoma na kuniomba niinunue, je nawezaje kupata free (unlocked) IDM? Mwenye huu ujuzi anisaidie maana nakosa kufanya mengi. Asanteni.
Sent using
Jamii Forums mobile app