Air Jordan
New Member
- Oct 5, 2016
- 3
- 0
Habari, naomba msaada kwenye Ku apply kidogo, Mimi nlianza kuomba tangu awamu ya kwanza Ila sijawahi kupata Wala nafasi kwenye faculty nlizo omba hazijawahi kujaaa mpaka leo pia Nina division 2, sijajua tatizo ni nini, Wala program rejection hawaandiki kitu, nikiwapigia hawapokei, nifanyeje?
