Naomba Msaada jinsi ya kulock Folders kwenye PC

mnyakwetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
309
Reaction score
96
Naomba kufahamishwa namna ya kufunga ma folder yangu kwa passwords, maana kuna vitu vingne ni confidential sasa nashindwa namna ya kuhide.
 
right click folder then kwa chini utaona kibox kimeandikwa hide put √ baada ya hapo funga folder yako then rudi kwenye ku start computer type folder option alafu click kwa juu palipoapia neno folder option kitafunguka ki folder kwa juu utaona view click kwenye view then ukishuka utaona hide the files put √ then put ok kwa chini. km hujaelewa fresh nicheki 0653732909
 
Asante mkuu ngoja niikaribie pc nikishindwa ntakucheck
 
hiyo option ni nzuri but sio secure sana, kwani mtu aki view hidden files anaweza kuyaona na kuyafungua.
Cha muhimu nakushauri udownload Folder Lock™ ambayo ni latest. Hiyo unalock files, folders, drives, removables etc. with password. Hapo vitu vyako vitakuwa safe.
Pia zipo settings zitakazo kuwezesha ku i hide hiyo Folder Lock™ na mtu asijue kama umeinstall. Thats all bro...
 
Ok sawa mkuu asante kwa hilo pia
 
Back
Top Bottom