Desmond Kamala
Senior Member
- Feb 20, 2014
- 134
- 8
Jaman nataka niinstall window kwenye laptop yang ni bonyeze wap
Bwana wee! Mbona unaizungumzia kazi ya ku-instal windows kwenye kompyuta kama kwamba ni kitu kirahisi cha kubonyeza buttons mbili tatu? ku-install windows ni shughuli nzito inayohitaji kuwa na bootup cd, na utaalamu wa kuzifahamu errors zote za windows installation. Kwa kifupi si shughuli ya kuelezana kwenye maandishi kama haya.Mtafute mtaalamu wa kompyuta kwenye eneo unaloishi.jaman nataka niinstall window kwenye laptop yang ni bonyeze wap
jaman nataka niinstall window kwenye laptop yang ni bonyeze wap
jaman nataka niinstall window kwenye laptop yang ni bonyeze wap