ahsante sana mkuu
me tayar nimeshainstall utorrent nifanyaje kupata games wakuuFirst of all kabla hujadowload torrent file kutoka site kama kickass, piratebay n.k lazima pc yako umeinstall utorrent au bittorrent ndo utaweza kudownload games
Fuata link hii https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=9124273
Unataka games za PC? Kama ndo nenda www.oceanofgames.com kupata games nyingi za pc unazotaka. Ila ni vizuri uwe na IDM (Internet Download Manager)me tayar nimeshainstall utorrent nifanyaje kupata games wakuu
Sasa Skidrow sindo nyumban... Anyway chek Oceanofgames.com au Ovagames.comHabari zenu ndugu,
Nimekuwa nikijaribu kutafuta pc games online, lakini jitihada zangu zimegonga mwamba licha ya kujaribu kudownload kwa kutumia website hizi, kickass.com, skidrowgames.com, download.cnet.net.
Lakini imekuwa vigumu kudownload games naomba mnielekeze mnafanyaje mpakla mnafanikiwa kudownload kama mnatumiaga web hizo nilizozitaja. Ikiwa mnatumia tofauti na hizo ni zipi na hatua za kudownload na process zinakuwaje?
NATANGULIZA SHUKRANI.
IDM ninayo mkuu ngoja nijarbu nikishindwa narejea asanteUnataka games za PC? Kama ndo nenda www.oceanofgames.com kupata games nyingi za pc unazotaka. Ila ni vizuri uwe na IDM (Internet Download Manager)
process gani unayotaka wewe zaidi kudownload tu na kuinistall. ingia oceanofgames.com.wakuu samahani naombeni mnipe process mwanzo mwisho jinsi ya kudownload games kwenye pc core i5 window 10