Naomba msaada jinsi ya kudownload ccna lab. Softwere

kinota

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
41
Reaction score
3
ninajisomea tuitorial mbali mbali za ccna ila nahitaji kufanya practise hivyo ndugu mnao weza nisaodia hiyo softwere nitafurahi sana.
nawasilisha wakuu
 
Hakuna software ya Cisco inayoitwa CCNA Lab. Kuna CISCO simulation software ambayo inajulikana kwa jina la packet tracer na mtu yoyote ambaye anasoma kozi za Cisco anaweza kuidownload for free kwenye account yake ya NETACAD. Kama wewe huwezi kuidownload hiyo software ya packet tracer then wewe sio mwanafunzi wa CISCO.
 
Ipo inaitwa CCNA Discovery au Cisco Network Academy, hii package ina course tutorial zote za CCNA pamoja na hiyo Packet Tracer.
 
Hiyo uliyoitaja ni tutorial lakini sio software ambayo inaweza kukuwezesha kufanya mazoezi ie: configuration of router, switch etc. Tutorial za Cisco zipo nyingi tu na wala sio CCNA Discovery tu, kuna Exploration na nyingine nyingi. Cisco Network Academy sio tutorial...hiyo ni Network Academy ambayo kazi yake ni kutoa elimu a.k.a course mbali mbali zinazohusiana na mambo ya network na PC.
 
Back
Top Bottom