Habari ndugu zangu, kama title inavyojieza naomba msaada wa ku update samsung j5 prime android 6.0.1 to current version ya android.
Before niliangalia youtube jinsi ya kuupdate nikakwama kwenye kuilipia hiyo software ya ku update. Natanguliza shukran
Subiri mpaka upate notification inayosema upgrade your phone, Nenda setting ya simu ya angalia pale about phone, Ukisoma hapo utaona "upgrade" Kama MB za bundle za kutosha basi jaribu kui upgrade.