Naomba msaada jinsi ya ku Unlock modem

Naomba maelekezo namna ya ku unlock modem
  • Je modem yako ni ipi ? ZTE au HUAWEI,
  • Model ipi? Je ni MF190, E303, K3772 au e173
Angalia sehemu ya kuwekea laini ya hiyo modem, kuna hayo maelezo.
 
  • Je modem yako ni ipi ? ZTE au HUAWEI,
  • Model ipi? Je ni MF190, E303, K3772 au e173
Angalia sehemu ya kuwekea laini ya hiyo modem, kuna hayo maelezo.
Mwl.ni ya Huawei ya t...
 
Mwl.ni ya Huawei ya t...
  • Hizi huwei za tiGo zipo za aina TATU E303u, E303s [ Hizi ni za zamani ] , Pia kuna hizi mpya E303H
  • Je modem yako ni ipi kati ya hizo model tajwa,
  • Angalia sehemu ya kuwekea laini kuna sticker isome na sema ,kiukamilifu modem yako ni ipi?
E303 HUAWEI MODERM msaada kaka
  • Je ni huawei ipi E303s au E303H au ni E303 hiLink
  • Kuna njia tofauti ya ku_unlock kwa kila aina ya modem
 

mimi ya kwangu ni E303Hlink kama vp naomba msaada make mm networck ya Tigo inazngua ktk maeneo nilipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…