Habari yako,
MacBook Pro inayohusika hapa ina sifa zifuatazo:
Processor yake ni Intel core dual 1.83 GHz, Ram yake ni 2 GB na HDD 500 GB.
Kwa sasa OS X version yake ni Snow Leopard 10.6.8
Je, kwa sifa hizo za hiyo MacBook Pro itawezekana kufanya intallation ya Microsoft office for Mac ile ya mwaka 2011?
Tafadhali, msaada wako una hitajika.