Ukitaka kuhairisha chuo we andika barua ya kusitisha then peleka TCU but unatakiwa uandike sababu ya kusitisha ili mwakani usije kusumbuliwa.
Mh mbona wanasema unalipa part of ada chuoni na kuandika barua chuoni halafu chuo ndio kitawataarifu TCU baada ya kuwa kimukusajili kama mwanafunzi wao?
kuna maelezo yananichanganya hapo juu. sijui nifuate kipi? barua kwenda tcu au kwenda chuoni?
Usikate tamaa kuwa umekosa mkopo, subiri HESLB watatoa bacth nyingine.
Lakini kwa kujibu swali lako, ukitaka kuhairisha mwaka wa masomo unatakiwa kuripoti chuoni na kulipa at least ada ya semister moja na then una andika barua ya kuomba kuhairisha mwaka.
Lakini kumbukeni kua japo mnamtia moyo asubiri je anaenda chuo au yupo home mana vyuo vimefunguliwa mda mrefu na vyuo vingine wanakaribia test one, hapo kuna kupitwa na masomo kwa ujumla ndo baadaye mwanafunzi anafanya vibaya kwenye masomo yake.Una uhakika gan kam umekosa mkopo?
Acha kukata tamaa dogo subir LOT nyngne HESLB waziachie.
Kaahirisha masomo kutokana na kukosa ada na kutegemea atapata msaada toka board ya mikopo, sasa jaman mnampa ushauri wa kulipa ada yeye aipate wapi??Usikate tamaa kuwa umekosa mkopo, subiri HESLB watatoa bacth nyingine.
Lakini kwa kujibu swali lako, ukitaka kuhairisha mwaka wa masomo unatakiwa kuripoti chuoni na kulipa at least ada ya semister moja na then una andika barua ya kuomba kuhairisha mwaka.
Yaan usiombe ya kakutokea ndugu its too sad, kuona unaacha kuendelea na masomo nawakati umepata GPA ya juu alafu unaacha school, I will never forget it in my life................ Never forget..... My Government.......jamani heslb inakuwaje watu wazima Open university wanapata mkopo harafu watoto wa undergraduate kama hawa wanakosa??? Kuweni makini jaman izo mikopo zinavigezo kweli au ndo rondamly selection.... So sad...