mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Awali nimshuru mungu kunijaaalia uzima mimi na Aila yangu na wewe unaesoma uzi huu.
Wakuuu katika nchi yetu ya tanzania lazima uwe na angalau Idear ya Afya na Sheria bila ya hivyo ww utakua ni mtu wa Tabu kila siku.
Msaaada ninaohitaji nahitaji sheria zote za Madai, Jinai Sheria za Kazi na mikataba ila ziwe zimetafsiriwa kwa KISWAHILI.
Nadhani nimevutika kulisoma hili somo.
"Palipo na udhia penyeza rupia"
Sina tatizo nasemo pale nikiwa na uwezo.
NB: Msemo unamaanisha niko tayari kulipia.