Kitaalamu cmu ikingia kwenye safemode yenyewe unatakiwa ku reboot itatoka,kma haikutoka bc ujue cmu yako ina tatizo la hardware aidha kina botton itakua haibonyezeki kati ya volume au botton nyingine yoyote ambayo inakua ina force cmu kwenda kwenye safemode