Naomba msaada, hii ni dalili ya mimba kutungwa?

kun wa bongo

Member
Jan 3, 2018
15
12
Mara baada ya kufanya ngono na mpenzi wangu alisema anahisi kama kuna uwazi halafu maji yanaingia.

Je hii ni dalili ya kwamba mimba imeingia?
 
Sijui huko aliko anajisikiaje baada ya kusoma post yako.
Anangoja miez mitatu mbele akachek ukimwi,, baada ya wiki mbili akacheki mimba ,,very simple


Miezi 9 mbelen anajifungua ,,,kisha anaanza kuwa mtumwa wa ARV rasmi akingoja parapanda italia parapanda
 
nimecheka sana hahahahaha asa anataka kusiwe na uwazi wakati gia rungu imepita.....hayo maji si ni utelezi ulio tupia mkuu
 
Mara baada ya kufanya ngono na mpenzi wangu alisema anahisi kama kuna uwazi halafu maji yanaingia.

Je hii ni dalili ya kwamba mimba imeingia?
Tayari!!
andaa Nepi,Hela ya chakula cha mtoto na ada
ukijua kuchomeka kavu lazima ujue matokeo
(consequences)
 
Kwa swali hili, na mazingira yake, hata sayansi za John Hopkins haziwezi kutoa majibu.
Anyway! Umenikumbusha usemi wa mtoto kamzaa toto, nani atamlea mtoto ilihali baba kafungwa Keko?
Baada ya muda anza na UPT
 
Kama umemmiminia maji mwenzio wategemea ahisi nini?

Muulize kama anahisi ukakasi kama wa ndimu huko uliko mmiminia maji.
 
Back
Top Bottom