Naomba msaada hapa...

Naomba msaada hapa...

Doreen20

Senior Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
137
Reaction score
77
Naombeni kuuliza katika uandikaji barua kule ajira portal ni lazima uandike kwa mkono au unaweza ukatype kwa compyta?
 
Naombeni kuuliza katika uandikaji barua kule ajira portal ni lazima uandike kwa mkono au unaweza ukatype kwa compyta?
Kikubwa usikosee, address ya PSRS na kuweka signature yako....
 
So ata nikitype kwa computer ni sawa?
Na ndiyo vizuri si unaongeza hata typing skills, sababu ukishapata kazi utaanza andika report.

Mimi huwa naandika hivyo na kuweka electronic signature(japo kuna wengine wanaweka vibaya na ni sababu mojawapo ya kutoitwa interviuni.

Kwa kifupi unaweza andika kwa mikono au ukatype.

Usisite kunicheck ikiwa kuna mkwamo.
 
Back
Top Bottom