Habari samahani,
Najua humu ndani kuna wasomi na watu wenye mawazo mapana.naomba ushauri mtoto wenu,mdogo wenu nmechaguliwa vyuo vitatu tofauti.
Course tofauti moja ni business administration nyingine ni bachelor of science in economics and finance na ya mwisho ni bachelor in accountancy and finance.
Je, ipi course nzuri sababu zote nazitaka sijui niende ipi ambayo italipa hapo baadae.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu