Naomba mniweke sawa hapa..

Naomba mniweke sawa hapa..

BangiNyeusi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
490
Reaction score
594
Wandugu habari zenu? Bila kupoteza muda ngoja niwape kisa hiki kilichonitokea mwenzenu.
Mimi ni kijana mwenye umri 20+ nilitokea kupata rafiki wa kike wa kawaida tu ila kadri siku zilivyozidi kwenda nikajikuta natokea kumpenda ile awe mchumba.. kwa mara ya kwanza nilivyomwambia alikataa katukatu nami sikuweza kumlazimisha maana nafahamu mapenzi ni makubaliano tu. Basi siku zikaenda mtoto akaanza kujaa kwenye mstari hatimaye mzigo nikawa naumiliki kabisa . Siku moja jioni alinitumia text kwamba mpenzi wake ameziona text zangu ambazo hua tunachart nikaona isiwe kesi saana wacha nilisolve hili swala nikamuambia kamahatojali basi anipe mawasiliano ya huyo boy mi ntampanga tu then wataendelea na mahusiano yao (Niliamua hivi kishingo upande tu ila kiukweli nilimpenda huyu Dada)

Siku zikazidi kwenda ghafla tukasahau yaliyotokea mapenzi yakaanza upya tena yakikua matamu haswaa mpaka ilifika stage muhuni sioni ishu nyingine kifupi alinishika haswaa.Baada ya muda kama miezi minne hivi ndani ya penzi hilo kidogo tu mwenzangu alichange kila nikimuuliza hana jibu la maana basi kidume nikajiongeza tu hapa mapenzi hakuna, maana mtu simu hapokei,text hajibu ila unamuona online ....

Wiki kama moja hivi niliamua kumpigia mwenza wangu huyo na kutaka kufahamu nin kinaendelea haswa daah! Alinipa jibu ambalo ama kwahakika nilihisi kuachia haja ndogo katikati ya maongezi nikasikia sauti ya kiume ikimhitaji impe simu tuzungumze mmmh! Nilitulia nikamwambia yule binti mpe tuongee Jamaa kupewa simu akaanza kuzungumza shombo flani nikaona sio poa wanaume kujibizana kisa mwanamke nilikata simu na kumtumia text yule bidada mzee mabingi nilidata kwa huyo dada kweli .

Baada ya masaa kama manne hivi simu yangu iliita kuangalia ilikua number ya yule mdada ,niliamua kupokea ila nilistushwa na sauti ya kiume ila nikakazaroho tu.Jamaa akajitambulisha na kuniomba nimueleza nilikutana vip na yule dame basi mzee nikafunguka tu A to Z tuliongea kama washkaji tu yani ile amani amani tu

Baada ya tukio hilo zilipita siku kama tatu yule bidada alinitafuta na kunilaumu kiasi tu .Mimi niliamua kumwambia why nilifanya vile basi alinisikiliza na kunielewa ila alionesha hali flani ya hofu et ipo day jamaa akinitafuta nitamwambia nilimuaidi kamwe sitafanya hivyo alinielewa..

Baada ya hayo nilijihisi mnyonge saana nafsi mwangu kwanin kidume nakubali kindezi kuwekwa sub? Kwanin nashindwa kumove basi kutokana na mafuriko ya mawazo hayo nilionekana kuyumba tu katika Mishe zangu, wana wakiniuliza navunga tu.. sasa mbaya zaidi ni huyu mwanamke kunitafuta na kutaka tuwe wapenzi kwa siri jmbo ambalo mim nilikubali tu ila baadae niliona urofa tu maana bimdada alinipa masharti magumu saana yan nisimtafute mpaka yeye anitafute daah! Waungwana naombeni ushauri tu katika hili maana najifahamu mim ni mtu wa visasi saana ila sihitaji kumfanyia hivi huyu maana nampenda bado pia namheshimu tu ila kila nikijitahid nikae mbali lazma anitafute # Hata wavuta bangi tunapenda
 
Hata wavuta bangi mnapenda.

Achana naye ,jipe muda utafuta mwanamke.... Kuendelea kumganda utajijengea ukuta ambao mwanamke fulan mwenye mapenzi naww anashindwa kukufata .

...ako kadem sio kitu sansana knataka kakufanye kimbilio LA ziada..

Watoto wamjin wanata ,Plan B.
 
Daaaàah umeoza kwa huyo duuu""""kidole kimoja hakivunji chama mkuu
Kweli mkuu ila si unajua haya mambo yanatokea tu kitambo nilikua nawashangaa sana washikaji wakilalama ila daah imetokea kwangu sasa
 
Hata wavuta bangi mnapenda.

Achana naye ,jipe muda utafuta mwanamke.... Kuendelea kumganda utajijengea ukuta ambao mwanamke fulan mwenye mapenzi naww anashindwa kukufata .

...ako kadem sio kitu sansana knataka kakufanye kimbilio LA ziada..

Watoto wamjin wanata ,Plan B.
Nimekuelewa mkuu...
 
Ukijua unachokitaka hutahitaji hata ushauri...kaa utafakari kwanza mkuu...yaan warembo walivyo wengi hivyo unakubali kusugua benchi na kujiiba iba kw MTU asojua hata thaman yako!... Itambue thaman yako mkuu dunia ina watu billion 7 hii
 
Mgegedo unapata? na kama unapata huwa unautendea haki? Wanaume huwa hatususi! mtoe akilini fanya vitu vya maendeleo ila siku akikuletea papuchi itendee haki mpaka awe anachanganyikiwa! over
 
Back
Top Bottom