Naomba mnishauri niombe course gani NACTE?

ulikosea kuiacha biology yaan ungeisoma saiv tungekuwa tunaongea mengine...
 
Haswa,ila nikutokana na Limitation zao NECTA.
 
Sio mimi ila nina mtu ndo nilimwambia atafute chuo akaja kunijibu kwa sasa maombi yameshafungwa. ila nitamshauri hivyo akifanikiwa nitakuja wafahamisha.
vipi amefanikiwa kusaidiwa?
 
Dah kwanin hukuunga jwtz
sisi tuliojiunga awamu ya pili mujibu wa sheria pamoja intake iliyojumuisha wahitimu wa ualimu tuliandikwa majina kwa waliohitaji kurudi jeshini baada ya kukamilisha mafunzo lakini ndio mpaka leo hakuna jipya.
 
wamefungua kaka wahi mwisho tarehe 6 november usipoteze huu mwaka.......
 
Wakuu samhan sana nilikuwa nauliza kwa course ya diploma ya computing and information technology.. Je soko lake lipo vip? Plz naomba ushaur
 
Jamani nmeingilia post je transfer unaweza kufanya Mara mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…