W Wisle JF-Expert Member Joined Dec 27, 2023 Posts 694 Reaction score 1,442 Jan 30, 2026 #21 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Matapeli wakubwa kwasasa wamehamishia makazi na ofisi zao makao makuu ya nchi Click to expand... ππππ Yaani ilikuwa simu moja kabla hajamaliza mazungumzo anapokea nyingineππ.
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Matapeli wakubwa kwasasa wamehamishia makazi na ofisi zao makao makuu ya nchi Click to expand... ππππ Yaani ilikuwa simu moja kabla hajamaliza mazungumzo anapokea nyingineππ.
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 6,167 Reaction score 15,741 Jan 30, 2026 #22 Wisle said: Tajiri wa kusini huko kusini si ndo kwenyewe? Ni mwendo wa ufuta korosho na mbaazi. Uwe makini kuna barua fake nyingi za uhamisho, wanaokutwa nazo wanafunguliwa kesi. (Barua inatoka ofisi husika lakini inakuwa ya magumashi). Click to expand... Tajiri wa kusini, zingatia hapa... π€ π€.
Wisle said: Tajiri wa kusini huko kusini si ndo kwenyewe? Ni mwendo wa ufuta korosho na mbaazi. Uwe makini kuna barua fake nyingi za uhamisho, wanaokutwa nazo wanafunguliwa kesi. (Barua inatoka ofisi husika lakini inakuwa ya magumashi). Click to expand... Tajiri wa kusini, zingatia hapa... π€ π€.