Naomba mnisaidie maujanja

Kuwa kwanza! Hata kuandika hujui unataka kuanza mapenzi! mwishowe utachanganyikiwa
 
niwekee jina la mwisho analotumia maana nahisi km namjua
 

Duhhh.....
 
Mpaka mfungue shule tutakoma naona mmerudi kwa kasi
 

Chezea fb utauziwa mbuzi kwenye gunia
 
nimemwona fb na wewe nimekusach et hb .hata hamfanan na wote shule hamja maliza msome acheni ungese wa mapenz mkiwa shulen.mbona we mbaya sana sura kama unakunya et hbfyuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…