Habari zenu wakuu, mimi sio mzoefu sana wa tv sasa nataka kununua flat screen nimependelea iwe ya kisasa sasa nahofia kuingizwa mjini. Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi na kampuni gani nzuri nilipendelea inch 32?
Kuna Smart TV ambayo inakuwa ni hdmi, 3D na kama unakuwa na dongle utakuwa na uwezo wa access internet unaweza hata kuskype kwakuwa zina kamera kabisa. Zilizo zoeleka hapa kwetu ni Samsung, LG. Kama zipo za kisasa zaidi watalaam waja kukujuza punde

Mh,kweli mambo ya smart tv flatscreen hatari,naona misamiati ya ajabu ajabu tu hapa.
Ila mkuu hii post yako imefanya wengi waanze kugoogle specs za high end flatscreen.Ngoja na mimi nigoogle.