Kweli hiyo X nyekundu inawezekana ikawa umei mute jarib ku click hapo uongeze saut kama sauti itafika mwisho na bado computer ikawa haitoi sauti tatizo linaweza likawa la driver za sauti hiyo kama ukipata program moja hivi inaitwa driver pack solution inaweza ikalitibu hilo tatizo kwa kuziweka sawa hizo sound drivers