Naomba mnipe data za MAMBO PUBLISHER

kashata

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
533
Reaction score
553
Habari wadau tarehe 10 mwezi huu nitakua kwenye usaili wa kuongea kwani wa kuandika nimeshafaulu kampuni ni Mambo publisher na nafasi nilioomba ni ya uandishi wa vitabu. naomba mnitajie maswali gani watakayoniuliza juu ya uandishi wa vitabu,salary yao ni kiasi gani? kampuni yao ipo maeneo gani apa Dar?.Ni hayo tu wadau
 
tusubiri wajuzi
Watakusaidia mkuu!
 
hongera mpaka hapo ulipofikia,kama huwa unaangalia movies sometimes angalia THE WORDS(2012) its my dedication to u
 
Poa mkuu nitaitafuta iyo movie
hongera mpaka hapo ulipofikia,kama huwa unaangalia movies sometimes angalia THE WORDS(2012) its my dedication to u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…