hebu nyinyi scientist mtutafsirie kwa nini watu huota ndoto
na wengine ndoto zao huwa kweli???????????
Nobody is blaming anybody.
Ynatokea hata kama hujawahi kushuhudia au hutaki kuamini jua wapo wenzio wanaoambukizwa bahati.
Babu...ohh sorry i mean Mzee DC ngoja nikutajie vichache tu alafu uniambie kwanini tunaviamini wakati havijathibitishwa kisayansi.
1.Laana toka kwa mzazi.Wengi wanawaogopa na kuwaheshimu wazazi wao/wakubwa wao kwa kuogopa kuachiwa laana.Inawezekana na wewe usiwe unaamini hili ..binafsi hua sijui nini cha kufikiria ila wapo watu ambao yamewakuta yasiyo kufuatia maneno ya kuonyesha hasira/unyonge toka kwa wazazi/wakubwa wao.
2.Jina/maneno kumjenga mtu/kumbomoa mtu....
3..........
Kwa hapo mkuu umefika level ya juu sana... Kwa hiyo mzungu ndo itakuwa balaa!!!
mimi naamini watu wanaochanganya damu
au kuchanganya makabila
wanapunguza sana mikosi lol
wanajisafisha na mikosi ya asili lol
Mkuu hayo ni mambo mengine kabisa...ndoto ni yale unayoyafikiria wakati umelala. Kuna maelezo mazuri tu ya kisayansi. Unaweza ku-gogole ukajisomea!
hebu nyinyi scientist mtutafsirie kwa nini watu huota ndoto
na wengine ndoto zao huwa kweli???????????
Kwa kweli mimi siamini kitu cha namna hiyo kwani wapo machotara kibao wanaishi maisha ya hovyo sana!
Hapa ambacho huwa kinazungumziwa nadhani ni kile kwa Kiingereza kinachoitwa 'influence'. Kuna watu ambao ukiwa nao basi wataku-influence kichanya zaidi na wengine ambao wataku-influence kihasi zaidi.
Ukiwa karibu na mtu mwenye bidii, nidhamu, na juhudi ya utafutaji uwezekano wa wewe kuwa na hizo sifa bainishi (traits) ni mkubwa sana. Na ukiwa hivyo basi hata mafanikio utayaona. Lakini ukiwa na mtu asiye na hizo sifa bainishi halafu ndo uwe umetoka kwa mtu aliyekuwa nazo, basi sitashangaa ukijiona labda una mikosi.
mimi nna ndugu wahindi na waarabu na waswahili tele
kuna vitu wahindi na waarabu hufanya sisi waswahili tunadharau
mfano kupenda kuishi ghorofani hata kama ni ghali mara tatu ya nyumba ya chini...
it turn out wanahusisha na bahati na kadhalika
jiulize wahindi wa tanzania mbona hawapendi kuishi nyumba za chini?
jiulize wahindi wa tanzania mbona hawapendi kuishi nyumba za chini?
Nafikiri kuna uwezekano huu..tuiite influence ambapo ili kupata ukweli kama kuna mtu mfano MTM ambaye anawezakuchanganua baadhi ya mambo yaliyokuwa yanafanywa na hao waliokuwa na nyota hafifu na wenye nyota njema. Mfano....
1, Mwanamke ambaye unahisi alikuwa/ana nyota nzuri anaparticipate vipi kwenye maisha yako kikazi, biashara au kimaisha tu kama kukushauri, kukutia moyo na kukupush katika kuhangaikia maisha............... na je hii iko tofauti kwa yule ambaye tunawezasema ana mkosi??
2. What other factors outside or around her ambazo zinawezakuwa zilichangia hayo mafanikio au failure yako? na
3. Je wewe mwenyewe umechangia kiasi gani katika hali hiyo uliyokuwa nayo wakati uko na any of the two.mfano unawezaukawa hujaitambua hamani au talent yako au kuwa na imani kuwa unawezafanya mambo makubwa sana so ukipata mwanamke ambaye naye atakuwa anakuchukulia kwa mtazamo wako kuwa yes hawezi basi unawezaona difference kubwa pale utakapokutana na yule ambaye anakupa moyo na kukuonyesha kuwa unaweza and the sky is the only limit.........kwa sababu utafanya kwa kuwa una suport na ukifanikiwa jambo lolote utasema ana kismeti au nyota njema.
hakuna cha influence
mnh,
Mwj1 leo una maswali magumu mydear. Vichwa vimechoka mida hii,...
ƒ −1[c] = {(a1,...,an) ∈ T1×···×Tn | ƒ (a1,...,an) = c}
...am out!
mnh,
Mwj1 leo una maswali magumu mydear. Vichwa vimechoka mida hii,...
ƒ −1[c] = {(a1,...,an) ∈ T1×···×Tn | ƒ (a1,...,an) = c}
...am out!