Naomba mnijuze kuhusu hili

Naomba mnijuze kuhusu hili

nyarosongoro

New Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Napenda kujua ni yap matibabu kwa mwanaume aliyeathirika na masterbation(kujichua) na kufikia ukiwa wakojoa manii yanatoka ni nini tiba yake maana wengi twapenda kupata soma
 
Napenda kujua ni yap matibabu kwa mwanaume aliyeathirika na masterbation(kujichua) na kufikia ukiwa wakojoa manii yanatoka ni nini tiba yake maana wengi twapenda kupata soma

Wewe ni Mesi au Ronardo?maana kiwango chako cha upachikaji mabao ni hatariii,dawa ni kuacha,fanya mazoezi,tafuta demu...
 
Back
Top Bottom