Fahamu zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Kluger V

The TOYOTA KLUGER (KLUGER V) was developed based on the TOYOTA HARRIER and released in November 2000 as a new model SUV. Though they shared the same chassis, in contrast to the HARRIER with its urban design and strong city-use style, the KLUGER boasted a strong exterior design well fit for a SUV. Moreover, the length and height of the car body were expanded in comparison to those of the HARRIER, thus achieving greater interior space and improved riding comfort.


For the interior, genuine leather seats were included as an option. In the luxury G package vehicles, a light color scheme was utilized for the upholstery to heighten an air of quality and luxury. Furthermore, the S package, which boasted a sporty design, took up a dark color scheme, allowing for the two different lines to have different character; as such, the KLUGER appealed to a wide variety of needs and preferences.


As for the equipment, the self-luminous meter was installed in all vehicles. Moreover, vehicles with electro multi-vision were compatible with VICS, allowing users to confirm traffic conditions on-screen.


Efforts were made to secure various storage space throughout the interior. One feature was the installment of a DC12V accessory power socket next to the trunk space.


The engine lineup consisted of the V-type 2,994cc six-cylinder gasoline engine with 220 horsepower and the 2,362c inline four-cylinder gasoline engine with 160 horsepower.

The transmission that could be combined was the 4-speed automatic only.


Grade development at the time included the two engines and an option of FF or 4WD; in addition, users could choose from the G package or the S package, making for a total of 8 variations in the lineup.


The riding capacity was 5 people in 2 rows of seats.


In 2003, the first round of minor changes was implemented. The exterior design, particularly in the front area, was changed. In terms of the interior, black upholstery was newly introduced. Furthermore, the “KLUGER L” meant for sale at the Corolla store was added.

At this time, a third row of storable seats was installed, and when in use, this allowed for an improved riding capacity of seven people.


As for the minor changes made in 2005, the discharge headlamp was added to some grades. Furthermore, the KLUGER V was discontinued and consolidated to the KLUGER L.
Asante sana...
 
Utofauti kati ya kluger l na kluger v ni upi jamani
Difference between Kluger V and L
Manufacture
V : 2000/11 to 2005/11
L : 2003/8 to 2007/5
Dealers
V : Netz
L : Toyota
Shapes, mechanics, types are same
 
hahahahahah
ahahahahahaaaa...mie sijui sana kuhusu magari but kuna jamaa yangu alinunua hiyo gari...kufika kwao moshi milimani na barabara mbovu kitu haina fourwheel..akaishia kuilaza ccm ya moshi.

kifupi ni kuwa pamoja na ukubwa na uzuri wake nyingi hazina fwd ...utata kwenye njia mbovu. kula mafuta mnhhhh...inategemea na injini ya ukubwa gani pia technology nyingi za kisasa zinapunguza sana tatizo hilo....ukitaka isile mafuta inabidi uwaambie japan watengeneze gari zinazokula chipsi mayai au zile mchemsho wa kuku au hata supu ya ulimi...

kula mafuta kwa gari hilo haliepukiki kama ccm kungooka madarakani iwapo katiba ya warioba itapita.

NI HAYOOOOOOOOOO TU.
hahahahaha na siasa humo humo ccm chama zuri sana
 
Salamu Wakuu ...
Naomba kujua mwenye uzoefu wa Toyota Kluger
-Utumiaji mafuta km/lita
-Uimara wake
-Comfortability
-Upatikanaji Spare parts
-Na matatizo yake kwa ujumla

Natanguliza shukrani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliiendesha sana mwaka 2013 lkn sikuipenda sana kwny stability,labda sababu mimi si mpnz sana wa SUV/Crossovers

Lkn ilikua ni gari poa sana.

Nb:Gari haikua yangu.
 
Ni gari nzuri sana, spare zipo ila bei imechangamka kidogo, ni a bit stable barabarani ukilinganisha ba harrier, japo ukipata ile ndogo yenye 2AZ, engine ambayo ipo kwenye harrier, kliger, vangard na rav 4 ( hapa nazungumzia SUV tu) utaenjoy zaidi.

Mm ninayo 2005 model, 7 seater, kitu ambacho hakiko kwenye harrier na rav 4, van guard inayo lakini siti 2 sio za maana sana.

Kama ni kwa mjini, barabara za lami na rough road kidogo nunua front wheel, ila kama una off road nyingi go 4 4WD, na kluger nyingi ni AWD. 4wd inakula mafuta around, kwenye high way, 9kpl wakati front wheel ni 11kpl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, kuna tofauti gani kati ya hizi gari?

1590471641819.png

1590471730257.png
 
Highlander ni mashine ya ukweli zaidi hii gari ipo Kwenye class ya ford ranger na Volkswagen amarok
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom