Hela kama hizo zinaatikana Mpawa, kule airtel wana Timiza loan na hata tigo sasa, ni laini yako tu na ukongwe wa kutumia Airtel, voda na tigo basi....humu njoo kuomba ushauri namna ya kutumia hela

Wakuu naombeni mkopo wa 200,000 dhamana ipo. mwenye uwezo au kujua ninapoweza kupata naomba anijuze, dhamana ni TCL smart tv inch 43 na frij, nipo dar es salaam