John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 143
- 108
vipi mliandikishana makabidhiano ya pesa au ndio ulitaka fastafasta kwa urahisi?Kuna wakala rafiki yangu nimempa pesa ya kunitengenezea laini za uwakala lakn katika lain 3 moja ndio ipo tyr nyingine nazungushwa wiki na nusu saiv kila siku kesho madai yao system inazingua na ukizingatia nimetoa pesa ya laini za haraka ilinipate kwa siku 1 je? ni fanyaje.
Hapana aisee,sikuandikishana naevipi mliandikishana makabidhiano ya pesa au ndio ulitaka fastafasta kwa urahisi?
Sawaa kakaSubira yavuta kheri...
MMMH HAPO CHANGAMOTO SASA, VUTA SUBIRAHapana aisee,sikuandikishana nae
Wanazingua kweliKama hakuna maandishi kua mpole..
Sawaa,asante sanaaMMMH HAPO CHANGAMOTO SASA, VUTA SUBIRA
mkuu kama ni till ya mpesa voda walisitisha kutengenezaKuna wakala rafiki yangu nimempa pesa ya kunitengenezea laini za uwakala lakn katika lain 3 moja ndio ipo tyr nyingine nazungushwa wiki na nusu saiv kila siku kesho madai yao system inazingua na ukizingatia nimetoa pesa ya laini za haraka ilinipate kwa siku 1 je? ni fanyaje.
Hapana ni tigo na halotelmkuu kama ni till ya mpesa voda walisitisha kutengeneza