Utakufa mbwa wewe mmoja tu Huyu anasumbuwa moyo wangu wawili jeWe ndo kama mm ila mm nna ma ex wawili wote nawamiss[emoji23]
Utakufa mbwa wewe mmoja tu Huyu anasumbuwa moyo wangu wawili je
Kabxaa..huu ni uponyaji mzurii...yaan ile pressure ya team inafanya unasahau kama ushawah kuwa na mahusianoAnza kushangilia mpira
Jamani naombeni mnisaidie mbinu za kumsau ex
Anza kushabikia Man U