Naxria abdalla
Senior Member
- Feb 28, 2025
- 169
- 300
- Thread starter
- #21
Izi mboga ziwe za kuchemsha tu au ata ukiweka naziKula mboga za majani kwa wingi sana.. punguza chumvi na sukari ikibidi achana nazo iwe kutumia kwa dharura sana, badala ya chumvi tumia pilipili na sukari tumia asali.. kunywa maji mengi sana na epuka vyakula vya wanga na mafuta.. kama ni ugali mboga za majani ziwe nyingi sana ugali kidogo wali achana nao kabisa.. fanya hivi kwa miezi miwili alafu nenda kapime.