Za kuprint aachane nazo hazina flow nzuri, labda awe mtaalam sana mwenye base nzuri. A deal na nguo za kawaida tu kutoka nje. Anunue mabelo, auze reja reja. Zikiwa za kike au watoto ndio itapendeza zaidi.
Kama unataka ufanye biashara yoyote usisikilize sana maneno ya watu kwenye kila biashara ya mtu aliyefanikiwa kuna mtu amepoteza hela zake nyingi hvyo try to do what you love and be carefully