Mimi katika hapa nlienda tanga kwenye milima ya usambara huko...nlifata iriki Huko nlinunua kg1 kwa 14000/ na nliweza nunua kg35 nkitumia kama 490000/ nlipokuja dar Bei haikuwa nzuri ila mwenzangu akikimbia amepata soko dodoma kg1 wanachukua kwa 27000 kwa kg...sasa ye akautuma mzigo dom....pesa tuliyokuwa tunategemea kupata Huko ni 945000/
Ova