Kodi yake andaa milioni 8...maana Kodi za TRA zinabadilika kilasiku, usijichanganye ukasoma Kodi ya calculator ya tra ukaenda nayo kulipia hapo utakuwa umeingia cha kike.
Huu ni mfano ambao Mimi mwenyewe nimekutana nao mwezi July,2024.
Kama kwenye calculator inasoma million 7 basi andaa laki 5 hapo juu za pembeni