Hivi John Major (Ex PM, UK) na Jacob Zuma (Current President, RSA) wana elimu gani vile? Baba yangu hakuwahi kusoma darasa lolote, lakini alikuwa mfanyabiashara maarufu miaka hiyo. Pamoja na "ujinga" wake kwa kuwa hakufika darasa la 7, aliweza kmf. kununua mashamba, kujenga majumba na kusomesha watoto wake wote 9.