1.Kwa nini mnashabikia CCM licha ya shida zilizosababishwa na viongozi wa chama hicho kikongwe?
2. kwa nini huduma za afya na elimu ni mbovu kwa wananchi huku viongozi wa ngazi za juu wakitibiwa nje ya nchi?
3. Kwa nini CCM wanataka wao ndo wawe kwenye mabaraza ya katiba baadala ya wote?
4. Je mna maslahi gani kwenye ccm kama si unafiki tu maana tunaona wengine mkiwa na shida kama watanzania wengine?
5. Mnajisikiaje watoto wa kitanzania wanavyofeli na kukosa ajira? je mnaona fahali?