Naomba maelezo kuhusu hii internet.

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
956
Katika eneo nililopo mtandao wa airtel tu ndio unaokamata 3g,lakini kuna rafiki yangu alikuwa anatumia huawei, alikuwa na uwezo wa kukamata 3g ya voda.nikajua itakuwa ni simu.
Sasa hivi amenunua samsung galaxy s2, nayo ina uwezo huo,lakini mimi nikijaribu kwenye simu yangu (iphone 4s) inakataa kushika voda 3g.
Naomba kujua sababu ni nini? Kwa sababu naitamani sana voda.
 
iPhone zipo vizuri kwenye kukamata net
Hakikisha kwenye Setting > General>Network ume Enable 3G kuwa on
 
Thanks mkuu lakini niki Enable 3g inasearch then inaandika No Service.

iphone (ios) haina kipengele cha 3g only, wakati android wameweka kipengele cha 3g only. hii maanayake iwapo signal za 3g zitakuwa zaifu eneo hilo basi mwenye iphone hatoweza kukamata 3g badalayake atapata edge (2g) wakati mwenye android ataendelea kumata 3g iwapo atakuwa amechagua 3g only kwenye device yake, na iwapo itapotea kabisa 3g basi simu yake itapoteza network kabisa.
 

Kwa kawaida iOs uki enable 3g maana yake itatoa priority kwa signal za 3g hata kama zipo kidogo kiasi gani, na kama hakuna kabisa signal za 3g ndio itakamata edge

Kunamambo mengi yanaweza kusababisha hivyo anaweza pia kujaribu kuweka sim card nyingine ya Voda wakati mwingine kuna sim card zinakuwa na shida kukamata 3g kama signal zipo weak

Au afanye back na kureset iphone yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…