Naomba madawa Pilipili mwendokasi

Naomba madawa Pilipili mwendokasi

Pelly

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
265
Reaction score
341
Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu,

Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa nilinunua 10gm nikaotesha kwenye kitalu japo nilichelewa kuziamisha lakini zilienda vizuri shida ikaja zikakutana na jua la Dar es salaam mwezi wa pili lilivyochanganya watu wa Dar

Mtakumbuka sasa mvua imepiga zikafunikwa jani lakutosha kama umeme na udongo wa hapa nilipo mfinyanzi nimeshindwa kupalilia ndiyo nimepata wazo nang'olea kwa mkono robo eka tu ila zingine nimekuta kama zinaugonjwa , kama kuna mtaalam au anayejua nifan yaje kutibu na niwezepata mazao bora na mengi.
Asanteni

20250418_170842.jpg
20250418_170859.jpg
 

Attachments

  • 20250418_170851.jpg
    20250418_170851.jpg
    690 KB · Views: 21
  • 20250418_170928.jpg
    20250418_170928.jpg
    617.6 KB · Views: 16
Wapo wengine watakutajia dawa za ugonjwa wa zinaa kwa binadamu, hii nchi ngumu sana kutoboa kama utakutana nao wawili
 
Unapata viroba vingapi?
Hata kuvuna sijaanza ila ndiyo majanga kama unavyoona ila viroba viwili kwa wiki zikichanganya mwezi ujao ndiyo naanza kuzipiga mbolea na booster, huyu jamaa kumbe alidanganya hakuna haja ya madawa
 
Tatizo kubwa hapo ni powdery mildew na thrips/mites. Tumia dawa zenye kiambata cha "hexaconazole" mf. Mupavil, snowvil, movil nk kutibu powdery mildew au tumia dawa zenye kiambata cha sulphur. Pia tafuta dawa yenye kiambata cha cypermethrin kutibu thrips/mites.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom