Asante mkuu,Hapana ndo maana alikugawia wewe tu hadi ukazaa naye ,vinginevyo usingemkuta hivyo ungekuta wengine nao wamemzalisha , ndoto hiyo inakujia kwe vile unatamani uwe naye ila unasitasita ,
Fanya maamuzi ili mwanao asijekuwa na dhana kuwa ulimtupa