C cuteone Member Joined Apr 4, 2013 Posts 23 Reaction score 3 Jan 4, 2014 #1 wapendwa salary scale ya 2.1 ni = shiling ngapi
N newbie JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 216 Reaction score 48 Jan 4, 2014 #2 cuteone said: wapendwa salary scale ya 2.1 ni = shiling ngapi Click to expand... Akili yangu ndogo inaniambia sidhani kama kuna 'salary scale ya 2.1' , toa maelezo zaidi.
cuteone said: wapendwa salary scale ya 2.1 ni = shiling ngapi Click to expand... Akili yangu ndogo inaniambia sidhani kama kuna 'salary scale ya 2.1' , toa maelezo zaidi.
C cuteone Member Joined Apr 4, 2013 Posts 23 Reaction score 3 Jan 4, 2014 Thread starter #3 nimeona kwenye advat na imeandikwa hivyo salary scale two dot one
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Jan 4, 2014 #4 cuteone said: nimeona kwenye advat na imeandikwa hivyo salary scale two dot one Click to expand... ungeweka na shirika lililotangaza ungesaidiwa kiurahisi...
cuteone said: nimeona kwenye advat na imeandikwa hivyo salary scale two dot one Click to expand... ungeweka na shirika lililotangaza ungesaidiwa kiurahisi...