naomba kuuliza

Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???

Unataka irudi ili umdanganye nani, kama ushapoteza original tulia tena acha kutengeneza ya kichina
 
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???

swali zuri sana wasiwasi wako nn bikira 0713 Si ipo poa kama unamaswali zaidi mp madamex from experienc atakujibu dada mina
 
Vunja ukimya sema tu, usiposema akigundua mwenyewe hatakuamini. Aidha bikra sio ishu ni Upendo wa kweli tu.
 
Nikweli mwanzo nilimwambia kua mimi ni bikra na akaniwekea heshma had sasa hajaniomba sex ila tatizo katkat ya mahusiano yetu ndo nilipata huo mkasa.
Sio ulimcheat hapo kweli? Mhhh umemnyima jamaaa weee,jamaaa kasema isiwe tabu atavumilia mpaka ndoa wakati labda wewe ulikuwa unapata Raha kwa mbali,
Inawezekana jamaa aliomba mzigo ukamwambia:mpaka ndoa
jamaa:kwanini mpaka ndoa?
wewe:Sijawahi fanya hiyo kitu naogopa
Jamaa:Ok ntasubiria,kichwani kwa jamaa anawaza ina maana binti huyu bikra.
wewe:siku imekaribia ya kunioa na mimi sio bikra itakuwaje?
ngoja nikapate mawazo jf.
OK Good idea kumnyima huenda ungempa angekutosa,but umemnyima kwa mashart huku ukijifunga mwenyewe,kwa maana ingekubidi usipate penzi kwa yeyote mpaka yeye,kitu ambacho kigumu kwako,ok
Ngoja wadau waje....
 
Atakuwa amemdanganya BF wake kuwa hajawahi kudushereriwa...na jamaa anahamu ya kufungua kitu sealed...so anatfuta mazingira ya kurekebisha size...Kazi kwelikweli.

Chenza kitu...... gani ampe tu hivohivo!!!!!!!!!!
 
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???

Dada yangu kazi ndogo kwani kuna kinadada waliolewa wamesha gongwa sana lakini kufika kwa wamezao Bikra zikapatikana chamsingi ongea na Bibi yako akutibu bikra yako iludi
 
pole sana amina ali , kwasababu inaonesha ni kitu kinachokusumbua m basi mweleze ukweli kwani ukweli utakuweka huru siku zote

huyu ana post traumatic stress disoder. Anahitaji kukutana na psychologist kabla hajaolewa ili kuweka mambo safi.
 
Last edited by a moderator:
Kama ulidu mara 1, then haujadu tena (maana kuna mtu kumbaka mtu mara kwa mara) na umekaa muda mrefu like 3-4 yrs huyo bwana anaweza kukuta kama sealed kwa sababu Uke utakua umeshrink lakini bikra hakuna.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…