asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Nijuzeni wana JF mwenzen nilibakwa na mtu wa familia, pia nakaribia ndoa ila mwenza wangu sijamwambia ukwel najiskia vibaya ila sitak kuonekana muhuni maana haikua ridhaa yangu
upo wp nikuelekeze pa kupata tiba?
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
kama ilisha tolewa ndo uisahau kabisa hiyo.....Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
Na uliberali woote mie naihofia hii process ya kumuambia mwenza. Itakuwa very traumatising. Jamaa atabakia kupata picha na kutaka kuua tu! Natamani asimuambie. Anyamaze tu bila kubold ama kutangaza habari ya bikra. Kwani mkaka kasema yeye bikira?
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
Mayoooooooooooooo...... We preta, how do I know kwamba hii niliyoikuta ni ya kwanza yaani orijino au ndo imewekwa chachandu yenye ndimu na limao nyingi... Basi tutaliwa wengi, maana kuna wale wanaoziuza. Thatha thijui nadho ni dha limao...Ndio.....ikisaidiwa na malimao.....
once sold non refendubleHivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
He he he kitu cha mtu kimeharibiwa hapa!!!!
sijui alikuwa masomoni, sijui alikuwa anasubiri ndoa.........
hukuweka wzi mwanzoni mwa hoja...ona sasa watu tumeingia mizaha kumbe mwenzetu ulipatwa...cha muhimu uelewe kuwa bikra huwa hairudi kamwe...then tafuta njia nyingine ya ksahau na kuendelea na maisha mengine na huyo umpendaye.Nijuzeni wana JF mwenzen nilibakwa na mtu wa familia, pia nakaribia ndoa ila mwenza wangu sijamwambia ukwel najiskia vibaya ila sitak kuonekana muhuni maana haikua ridhaa yangu
sometimes..ukweli..waweza..kukucost..wee..kaa..kimya..sio..lazima..itoke..with..a..pool..of..blood..he..will..not..notice..unless..ur..sleeping..with..other..menSuluhu ni kumwambia ukweli mwenzio!