Naomba kuuliza?

nobykah

Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
54
Reaction score
27
Hiv kuna faida gani kwa taifa (sio mtu binafsi) ya kuwa na
uraia pacha!
a)Kisiasa
b)Kimichezo na
c)Kiuchumi na hata
d)Kijamii




Habar za asubuhi!
 
Hiv kuna faida gani kwa taifa (sio mtu binafsi) ya kuwa na uraia!
Kisiasa
Kimichezo na
Kiuchumi na hata
Kijamii




Habar za asubuhi!
Mimi sijaelewa kabisa ngoja niwaite watu wa uhamiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…