Naomba kuuliza kuhusu maombi ya kazi via e-mail

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,526
Habarini za mda huu JF members,

Naomba kuuliza, hivi maombi ya kazi yanayohitaji kutuma taarifa/maombi kupitia Email zile nyaraka(documents?) Huwa unatuma mojamoja mfano; unatuma PDF ya barua, then PDF ya cheti kama unakingine unatuma tena, PDF ya CV mpaka unamaliza vyote,
AU unatengeneza nyaraka(PDF) moja ambayo ime-accumulate documents zote then unatuma kama single document?

Naomba ufafanuzi wakubwa.
 
Sawa kiongozi nimekupata
Tuma kama single documents, au pia unaweza vyeti vikawa kwenye file moja, lkn ukaviname let's say certificates, barua ukainame application letter, Kisha cv pia ukainame "CV" Kwahio hao utakuwa na pdf au files tatu.

Kwahio ikiingia kwa muhusika akitaka kuangali cv ataangalia cv, akitaka baraua ataangalia barua, pia aikitaka vyeti ataangalia vyeti. Au uweke pia kama single document.
 
Tuma kama single documents, au pia unaweza vyeti vikawa kwenye file moja, lkn ukaviname let's say certificates, barua ukainame application letter, Kisha cv pia ukainame "CV" Kwahio hao utakuwa na pdf au files tatu. Kwahio ikiingia kwa muhusika akitaka kuangali cv ataangalia cv, akitaka baraua ataangalia barua, pia aikitaka vyeti ataangalia vyeti. Au uweke pia kama single document.
Sawa nimekupata. Kwahyo kama hv vyeti ninaviscan original au nitoe copy then niscan ndo niwatumie?
 
Sawa nimekupata.. Kwahyo kama hv vyeti ninaviscan original au nitoe copy then niscan ndo niwatumie..?
Scan original nibora zaidi, au uscan copy ambayo iko verified pia nibora. Kama copy haiko verified scan original, ingawa pia inategemea na maelezo yao kama wanataka verified au wanataka tu vivuli vya vyeti. Ushauri wangu scan original au scan copy ambayo iko verified.
 
Hongera kwa kupata nafasi ya kazi kijana.

Email itabidi uitume kama Folder moja likiwa named(Shombe LA kisomali). Then humo ndani ya Folder ndimo unaweka pdf files pia zikiwa named(Shombe LA kisomali App letter, Shombe LA kisomali Bach Certificate etc).

Pia katika swala LA kuscan, Scan OG, maana kwenye maombi ya kazi huwa wanahitaji copy coz huwa unazituma moja kwa moja. I mean hazitarudi that's y kwenye usaili(interview etc) huwa tunahimizwa kwenda na vyeti OG.

Kila LA kheri mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom