sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 690
- 384
hello wandugu naomba kaushauri kidogo kuna ndugu yangu kakosea kutuma hela(laki 2) akamtumia mtu mwingine maana namba zinafanana sana sana alikosea kwenye 0717 akaweka 0714.
sasa alivyokosea huyo aliyetumiwa nae kamtumia mwingine majina anayo na number anazo
hivi kuna jambo lolote linaweza fanyika maana kaenda tigo.....tigo wamempigia simu aliyetumia na ndugu yake wamesema watarudisha kesho..anataka kwenda kuripoti polisi
msaada wa mawazo please maana mdada kachanganyikiwa