Hivi ningekuwa sipo ningekuwa natiririka na kuserereka humu hadi hivi sasa? au ulidhani labda na Mimi hadi leo nimetimiza Siku 73 za kutoonekana kila pembe ya nchi ya Tanzania?

Huenda account yako ikawa Iko chini ya uangalizi wa wasiojulikana mkuu, maana jamaa yangu aliwekwa korokoroni jamaa wakachukua simu wakaendelea kuchat na watu wake wa Karibu km kawaida bila wao kujua kuwa ndg Yao yupo shimoni safe house.