Naomba kusaidiwa kwa hili

Naomba kusaidiwa kwa hili

Kkitobo

Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
8
Reaction score
3
Je, naweza kupiga picha vyeti vyangu kwa kutumia simu yangu na nikavi atach na barua yangu ya maombi ya kazi kwenye mtandao? Au simu inaweza kutumika kufanya application au ni lazima nitumie compyuta?
 
Nenda Stationary uka SCAN ili viwe in form of softcopy then utume.

NB; usipige picha utakosa kaz
 
unaweza piga then ukaichukua picha ukaipaste kwenye word document then ukaisave as pdf...inakuwa like scanned
 
Back
Top Bottom