Naomba kusaidiwa kujiunga na JWTZ au Uhamiaji

Nipe Kavu

Senior Member
Oct 27, 2018
115
181
Habarini wana janvi
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita na nimefaulu na "nimebahitaka" kukosa mkopo licha ya kuwa yatima na vyeti vya vifo niliiambatanisha

Baada ya chenga za heslb,naomba kama kuna mtu anaeza nishika mkono(kunisaidia)kujiunga na jwtz au uhamiaji anisaidie maana hali ni tete

Lakini pia hata kama unakazi yoyote ambayo inahitaji hicho kiwango cha elimu na nihalali unaeza nisogezea

Ntashukuru sana coz sina pa kwenda
NB:naomba mods huu Uzi msiunganishe.msiwe kama heslb jamani
 
Nipe kavu.........? User name unaweza kuogopesha watu
 
Habarini wana janvi
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita na nimefaulu na "nimebahitaka" kukosa mkopo licha ya kuwa yatima na vyeti vya vifo niliiambatanisha

Baada ya chenga za heslb,naomba kama kuna mtu anaeza nishika mkono(kunisaidia)kujiunga na jwtz au uhamiaji anisaidie maana hali ni tete

Lakini pia hata kama unakazi yoyote ambayo inahitaji hicho kiwango cha elimu na nihalali unaeza nisogezea

Ntashukuru sana coz sina pa kwenda
NB:naomba mods huu Uzi msiunganishe.msiwe kama heslb jamani
Nenda kwanza jkt la sivyo utajikuta unasubilia meli airport
 
Kwa hitaji lako hilo hadi wenye degree wanahaso, nakushaur utulize kichwa home, mwakani ujiandae kikamilifu bod haiwez kukuacha

Kam mwak huu wamemuacha sembuse hiyo mwakan bodi wababaishaji tu sahz hakun umuhim wa bod mtu anaangaik kupig msuli anafaul then ananyimwa mkopo na vigez anavyo mhh hii bodi kwa kweli sin hamuuu
 
Mkuu ata ma brigedia sasa wanawapeleka watoto wao na ndugu zao JKT kwanza... Ila kama ni form 6 science na umefaulu vyema huwa wanatoa nafac za direct ila kwa mbinde.
 
Habarini wana janvi
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita na nimefaulu na "nimebahitaka" kukosa mkopo licha ya kuwa yatima na vyeti vya vifo niliiambatanisha

Baada ya chenga za heslb,naomba kama kuna mtu anaeza nishika mkono(kunisaidia)kujiunga na jwtz au uhamiaji anisaidie maana hali ni tete

Lakini pia hata kama unakazi yoyote ambayo inahitaji hicho kiwango cha elimu na nihalali unaeza nisogezea

Ntashukuru sana coz sina pa kwenda
NB:naomba mods huu Uzi msiunganishe.msiwe kama heslb jamani
We kata tu rufaaa saiv bado ipo waziii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom