Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Imekuaje Metacha Mnata kaitwa Kikosi Cha Team Ya Taifa Stars Kama Mchezaji Wa team Ya Young African Wakati Alishaondolewa Yanga?
Mkuuu wewe endelea kupiga Promo ya BASKETBALL kama unavyoamini kwamba utaifikisha mahali, haya Mambo ya FOOTBALL wachana nayo hauwezani kabisaImekuaje Metacha Mnata kaitwa Kikosi Cha Team Ya Taifa Stars Kama Mchezaji Wa team Ya Young African Wakati Alishaondolewa Yanga?