Mimi ni mdau mkubwa sana ktk mitandao ya kijamii, Hupenda kutafuta habari mbalimbali na kuwapatia vijana wenzangu ambao hawana access ya moja kwa moja na internet. Kuna kipengele cha ajira/ nafasi za kazi zinazo kuwa posted ktk mitandao mbalimbali, huwa natafuta vyanzo then nawajuza vijana wenzangu, Sasa kuna hizi kazi za mafisa tarafa ziko posted katika Job Vacancies Eastafrica-Jobs in Kenya,Uganda,Tanzania and Rwanda-Jobs in Eastafrica. Ukiangalia hizi kazi zimetolewa na JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA lakini nikifungua website ya sekretarieti sioni hizi post, je ni za kweli, naomba kujuzwa wadau
- Jobs in Kenya Uganda Tanzania and Rwanda, Job Vacancies in East africa 2013
- Jobs in Kenya Uganda Tanzania and Rwanda, Job Vacancies in East africa 2013